Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya
Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Yasmin Ratansi (wa pili
kushoto) akizungumza pale ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Canada ambao ni
Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ulipotembelea
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma, ukiwa na lengo la
kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo, kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo
la Bukombe, Mhe. Dotto Biteko, anaefuta ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi
Rajabu , kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la
Canada ambae pia ni Mbunge, Mhe. Kerry Diotte na katikati ni Katibu wa Chama
cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada Ndg. Remi Bourgault
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Balozi Adadi Rajabu (kulia)
akizungumza pale ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Canada ambao ni Wajumbe wa
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ulipotembelea Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma, ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya
Mabunge hayo. Ujumbe huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia ni Mbunge, Yasmin Ratansi (wa
pili kushoto), kushoto ni Mjumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi
la Canada ambae pia ni Mbunge, Kerry Diotte na wa pili kulia, ni Katibu wa
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada Ndg. Remi Bourgault
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas kashililah (wa pili
kushoto) akisisitiza jambo pale ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Canada ambao
ni Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada
ulipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma, ukiwa na lengo la kubadilishana
uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo. Ujumbe huo uliongozwa na
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada ambae pia
ni Mbunge, Mhe. Yasmin Ratansi (katikati).
Ujumbe wa Wabunge kutoka Bungela Canada ambao ni
Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada walipotembelea
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mhe.Yasmin Ratansi
(watatu kushoto), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi Rajabu (wa pili
kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na
Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dotto Biteko (wanne kushoto) na Katibu wa
Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa tatu kulia). Ujumbe ukiwa na lengo la
kubadilishana uzoefu katika utendaji wa kazi baina ya Mabunge hayo. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment