Mkurugenzi
wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF), Dk
Judith Odunga akizungumza na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani
lililofanyika Dar es Salaam leo (Machi 6). Kusoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma
za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus Mulokozi,
Mwenyekiti wa shirika hilo, Naomi Kaihula (wa pili kulia) na wajumbe wengine wa
shirika hilo.
Mkurugenzi
wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus
Mulokozi akizungumza na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani
lililoandaliwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika
(WILDAF) na kufanyika Dar es Salaam leo (Machi 6).
Mwenyekiti
wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF, Naomi
Kaihula akizungumza na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani
lililoandaliwa na shirika hilo na kufanyika Dar es Salaam leo
Wasanii wa
kikundi cha ngoma cha Nimujo wakiburudisha wakati wa kongamano hilo.
Wadau na
washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake duniani lililoandaliwa na Shirika la
Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF) Dar es Salaam janna.
Mkurugenzi
wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus
Mulokozi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirika la Wanawake
katika Sheria na Maendeleo Afrika (WILDAF) Naomi Kaihura (kushoto kwake),
Mkurugenzi wa shirika hilo, Dk Judith Odunga (kulia kwake) na wajumbe wa
shirika hilo wakati wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na
Shirika hilo na kufanyika Dar es Salaam jana.
Washiriki
wa kongamano la Siku ya Wanawake duniani lililoandaliwa na Shirika la Wanawake
katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF) wakifuatilia matukio ya
kongamano hilo Dar es Salaam jana.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment