Meja Jenerali Michael Isamuhyo akipenya katika vichaka wakati akitembelea eneo la vitalu A
mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi
ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe
Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo
yanayopatikana Tanzania pekee.
Akipokea salamu kutoka kwa Kamanda wa Polisi
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya
Simanjiro na wananchi mara baada ya kutua katika uwanja wa wazi wa
Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara tayari kwa kukagua eneo
litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A hadi D katika eneo la Madini la
Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe
Magufuli
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na kuoneshwa eneo la vitalu A
mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi
ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe
Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo
yanayopatikana Tanzania pekee. Picha na mpiga picha wetu

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment