Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 12 July 2017

UJIO WA TIMU YA EVERTON HII LEO NCHINI TANZANIA

 Nyota wa timu ya Everton wakiongozwa na Wayne Rooney wakiteremka kutoka katika ndege hii leo wakati timu hiyo pamoja na viongozi kadhaa ilipowasili nchini Tanzania tayari kwaajili ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Gor mahia ya Kenya. Mchezo huo utafanyika katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 14,2017.
 Wachezaji wa Everton wakishuka katika ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisalimiana na nyota wa Everton Wayne Rooney baada ya kuwasili nchini leo.
 Winga wa Everton raia wa Congo, Yannick Bolasie akisalimiana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizarani, Yusuph Omar.
 wachezaji wakiangalia Burudani
 Burudani ya Morani wa Kimaasai ikiendelea
 Winga wa Everton raia wa Congo, Yannick Bolasieaskisalimia wanafunzi walipompokea.
 Kiungo wa timu ya Everton raia wa Senegal, Idrissa Gana Gueye akisalimia watoto wanaosoma shule ya Uhuru Mchanganyika wakati yeye na wenzake walipo itembelea hii leo.
Wachezaji wa Everton wakiwa Shule ya Uhuru Mchanganyiko hii leo. Picha/Everton.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment