Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amezionya kampuni ambazo hazijapunguza gharama za upimaji wa ardhi kuwa zitafungiwa na serikali.
Lukuvi aliyasema hayo leo wakati alipotembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam na kutembelea Kampuni ya Proparty Intenational inajishughulisha na biashara ya upimaji na uuzaji wa viwanja.

Lukuvi alisema kampuni hizo zinatakiwa kupunguza gharama kwa asilimia 68 ili kuwawezesha wananchi kupimiwa viwanja kwa gharama nafuu.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Abdulhaleem Zaharani alimuahidi waziri Lukuvi kutoa uduma hiyo wak uaminifu mkubwa uhakikisha ananchi anapata viwanja vilivyopimwa.
"Nitoe mwito kwa watanzania kununua na kujenga katika viwanja ambavyo vimepimwa na sisi ukot tayari upak huduma bora,"
"Nitoe mwito kwa watanzania kununua na kujenga katika viwanja ambavyo vimepimwa na sisi ukot tayari upak huduma bora,"
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment