Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust
na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tukuyu, Ezekiel Manyemele, wakifunua kitambaa
kuzindua Jengo la Choo cha wanawake katika Hospitali ya Makandana Wilayani
Rungwe, jana Sept 20, 2017. Jengo hilo la Choo limegharimu zaidi ya Sh. milioni
50.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust
na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,
akipanda mti na Mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Segera, Jackson
Lusajo, wakati alipotembelea shule hiyo kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule
hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Rungwe jana Sept 20, 2017. Jumla ya miti
160 ilipandwa katika shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kutunza mazingira.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust
na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,
akimkabidhi tofali, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Segera, Fred Mfwea (wa pili
kulia) na Diwani wa Kata ya Segera (katikati) wakati alipotembelea shuleni hapo
kukabidhi Vifaa vya ukarabati wa shule hiyo akiwa katika ziara yake Wilaya ya
Rungwe jana Sept 20, 2017.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akicheza muziki 'Ndiyo Maana Tenzele' wa asili wa
kabila la Wasafa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Unyamwange, Julius Pascal, wakati
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya akiangalisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa
Kituo cha afya Kata ya Isongole jana sept 20,2017.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment