Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) Kailima Ramadhani (Kulia) akimweleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama
(kushoto) alipotembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi eneo la kuhifadhia
Mashine za BVR. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na
Bunge), Maimuna Tarishi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,
Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akitazama moja ya Daftari la Wapiga Kura
alipotembelea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam. Katikati
ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhani na Kushoto ni Afisa TEHAMA wa
Tume, Mwamvita Solo.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment