Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma, Spika Ndugai pia ni Mgeni rasmi na aliongoza Wabunge katika harambee hiyo.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana
na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) kabla ya kuanza
harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio
lililofanyika leo Mjini Dodoma. katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo
Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia)akiongoza
Wabunge Mbali mbali kucheza nyimbo ya injili kama njia moja wapo ya kuhamasisha
uchangiaji kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika
leo Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
akizungumza jambo kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la
Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma. kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda na katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akiteta jambo na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika
kwa harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio
lililofanyika leo Mjini Dodoma, Pia Spika Ndugai aliongoza Wabunge katika
harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (wa
pili kushoto) akizungumza jambo baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya
ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt.
Thomas Kashililah, kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu
Dkt. Alex Malasusa na wa pili kulia ni Ndg. Elton Mapesa Mwakilishi wa Harambee
kutoka External Ubungo Jijini Dar es Salaam.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment