Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Wednesday 9 May 2018

KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe akiomba muongozo kwa Spika kuhusiana na kupanda kwa bei ya Mafuta ya kupikia nchini ambapo alitaka kauli ya Serikali kuhusiana na suala hilo. Kulia ni Salim Hassan Turky. /Picha zote: Mroki Mroki -Daily News Digital.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza Bungeni jijini Dodoma jana wakati akitoa maagizo kuhusiana na sakata la mafuta ya kupikia lililofuliza kujadiliwa Bungeni.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akitoa maelezo Bungeni jijini Dodoma jana kuhusiana na sakata la meli mbili za mafuta ghafi ya kupikia ziliokwama kushusha mzigo banadari ya Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Suleiman Saddiq akitoa ufafanuzi wa uingizaji wa mafuta ghafi ya kupikia Bungeni jijini Dodoma
 Baadhi ya wabunge wakifuatilia mijadala mbalimbali bungeni jijini Dodoma jana.
 Naibu Waziri wa Madini, Stantalaus Nyongo akiongozana na Mbunge wa Viti Maalu, Olive Semuguruka wakitoka Bungeni jijini Dodoma jana.
 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, John Shibuda (wapili kushoto) akiwa na baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakiwa Bungeni jijini Dodoma jana.
 Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji inayotaraji kumalizika leo Bungeni Jijini Dodoma
  Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde 'Kibajaji'  akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji inayotaraji kumalizika leo Bungeni Jijini Dodoma
 Wabunge Mama Salma Kikwete (nyuma) na Hawa Ghasia wa Mtwara Vijijini wakitoka Bungeni Jijini Dodoma
Waziri wa Madini, Angela Kairuki (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati Bungeni jijini Dodoma jana.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment