Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akifungua mkutano mkuu wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF uliofanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na wadau wa mfuko(Picha na Pamela Mollel)
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea katika mkutano huo akimuakilisha mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,katika risala yake alisema kuwa anaipongeza mfuko huo kwa makubaliano waliofikia na UTT-MFI wa kutoa mikopo nafuu kwa wanachama wake wajasiriamali
Mkurugenzi mkuu wa mfuko huo Daud Msangi akizungumza katika mkutano huo wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF
Mwenyekiti wa bodi ya GEPF Joyce Shaidi akizungumza katika mkutano huo ambapo amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni "Hifadhi ya jamii kwa wote inawezekana katika uchumi wa viwanda"kauli mbiu hii imewekwa maksudi na kumuunga mkono Rais katika kujenga uchumi wa viwanda
Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijajiakizindua mpango wa gharama nafuu utakao wahudumia watu wote waliojiunga na mfuko huo
Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akiteta jambo na Mkurugenzi mkuu wa mfuko huo Daud Msangi katika mkutano huo
Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mfuko huo wa GEPF jijini Arusha
Kulia ni mtendaji mkuu wa UTT James WAshima akizungumza katika mkutano huo pembeni ni Mkurugenzi mkuu wa GEPF Daud Msangi
Wadau katika mkutano wakifatilia mada mbalimbali
Mnufaika wa fao la elimu Joseph Mwashimaha akizungumza namna alivyonufaika na mfuko huo wa GEPF
Mtendaji mkuu Benki ya Posta Sabasaba Moshingi akitoa neno la shukrani katika mkutano huo
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment