Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday 2 March 2017

WAZIRI MBARAWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI TERMINAL III JNIA

 Muonekano wa jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya  BAM International inayojenga Jengo la Tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.



Mkuu wa timu ya usimamizi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam, Eng. Julius Ndyamukama (kushoto) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa ramani ya miundombinu katika jengo hilo alipofanya ukaguzi mapema leo.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment