Mbunge wa Bunda Mjini Esther Bulaya
akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma leo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Nkuu,
Sera, Bunge, Kzi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akijibu taarifa ya
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu shauri la kudharau Mamlaka
ya spika linalowahusu wabunge, Freeman Mboiwe, Halima Mdee, Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam Paul Makonda na wengine, Bungeni mjini Dodoma
Spika wa Bunge Job Ndugai akihitimisha taarifa
ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu shauri la kudharau
Mamlaka ya spika linalowahusu wabunge, Freeman Mboiwe, Halima Mdee, Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na wengine, Bungeni mjini Dodoma leo.Picha: Fadhili Akida- Daily News Tanzania Blog
Mbunge wa Hanang, Dk Mary Nagu na Mbunge
wa Mbozi, Pascal Haonga wakiwasili kwenye viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao
cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma
Naibu Waziri wa wa Nchi, Ofisi ya Rais
(TAMISEMI), Suleiman Jafo akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha
maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma
Mbunge wa Geita Mjini, John Kanyasu
akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy
Mohamed akifuatilia kwa makini mijadala ya Bunge, Bungeni mjini Dodoma
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala akijadiliana jambo na Mbunge wa
Segerea, Bonah Kaluwa wakati wa kikao cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.






















