Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Tuesday 2 May 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO MEI 2,2017

 Mbunge wa Bunda Mjini Esther Bulaya akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Nkuu, Sera, Bunge, Kzi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akijibu taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu shauri la kudharau Mamlaka ya spika linalowahusu wabunge, Freeman Mboiwe, Halima Mdee, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na wengine, Bungeni mjini Dodoma
 Spika wa Bunge Job Ndugai akihitimisha taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu shauri la kudharau Mamlaka ya spika linalowahusu wabunge, Freeman Mboiwe, Halima Mdee, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na wengine, Bungeni mjini Dodoma leo.Picha: Fadhili Akida- Daily News Tanzania Blog
 Mbunge wa Hanang, Dk Mary Nagu na Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga wakiwasili kwenye viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Suleiman Jafo akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma
Mbunge wa Geita Mjini, John Kanyasu akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed akifuatilia kwa makini mijadala ya Bunge, Bungeni mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala akijadiliana jambo na Mbunge wa Segerea, Bonah Kaluwa wakati wa kikao cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Fk Hamis Kigwangala akijibu maswali ya wabunge wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum, Kiteto Zawadi Koshuma akifuatilia mijadala ya Bunge, wakati wa kikao cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum Rhoda Kunchela akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Monduli, Julius Laizer akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola na Mbunge wa Viti Maalum Aida Kenani wakiwasili Bungeni kuhudhuria kikao cha Bunge mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anjelina Mabula akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma


 Waziri wa Nishati na MAdini Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango wakijadiliana jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Bunge la Bajeti mjini Dodoma
 Mbunge wa Mvomero Sadiq Murad na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja wakijadiliana jambo wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao cha Bunge la Bajeti, Bungeni mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole- Nasha akijibu maswali ya wabunge, Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum, Upendo Peneza akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
 Waziri wa Nishati na Majibu, Profesa Sospeter Muhongo akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu, Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Kuteuliwa Salma Kikwete akiwapungia wapigapicha wa magazeti wakati akiwasili bungeni mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti mjini Dodoma
 Waziri wa Afya, MAendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akijibu maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma
 Waombaji wa madhehebu ya dini ya Kikristo kutoka mjini Dodoma wakifuatilia mijadala ya Bunge, Bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu akizungumza na simu wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma
Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dk Agnes Kijazi akifuatilia mijadala ya Bunge, bungeni mjini Dodoma


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment