Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday 5 April 2018

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma jana. (Picha na Mroki Mroki).

Naibu Waziri TAMISEMI, Joseph Kakunda akijibu Maswali yaliyoelekezwa katika wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma jana.
Wabunge mbalimbali wakifuatilia kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk, Angelina Mabula, Bungeni mjini Dodoma jana.Katikati ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga.
Mbunge wa Viti Maalum, Dk Jasmine Bunga akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma jana.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile akijibu Maswali Bungeni
Wabunge wakiwa Bungeni.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yaliyoulizwa Bungeni mjini Dodoma jana.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Manaibu Waziri, Atashata Nditie wa Uchukuzi na Mawasiliano na Abdallah Ulega wa Mifugo na Uvuvi, Bungeni mjini Dodoma jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk, Augustine Mahiga akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma jana wakati wa vikao vya Bunge la Bajeti linaloendelea. (Picha zote na Mroki Mroki).


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akielekea kuingia Bungeni Mjini Dodoma jana baada ya kushuka katika gari lake viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Wabunge wa majimbo ya Manyoni Magharibi, Yahaya Massare (kulia) na Manyoni Mashariki, Daniel Mtuka wakifurahia jambo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akiwa na Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka wakiingia Bungeni Mjini Dodoma jana.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia wakiingia Bungeni mjini Dodoma jana.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment