Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 1 February 2018

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO FEBRUARI MOSI, 2018

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwa Bungeni akifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea Bungeni Mjini Dodoma. 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akijibu swali bungeni leo. 
Mbunge wa Viti Maalum Halima Bulembo akiuliza swali bungeni.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Wabunge wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
Wabunge Anne Kilango Malecela, Munde Tambwe akijadiliana na Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe nan je ya viwanja vya Bunge kabla ya kuingia Bungeni kwaajili ya kuhudhuria kikao cha Bunge.
Wabunge wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum, Anna Lupembe akiulizwa swali bungeni, mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu swali bungeni leo.
/Picha: Katuma Masamba-Daily News Digital
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye wakati wa kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Ruge akichangia mjadala wa taarifa ya Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) bungeni, mjini Dodoma.
Wabunge wakijadiliana wakati wa kikao cha Bunge.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiuliza swali leo bungeni, mjini Dodoma.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akimsikiliza Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya wakati wa kikao cha Bunge leo.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment