Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Friday 17 November 2017

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA WAKATI WA KUAHIRISHWA KWA BUNGE NOVEMBA 17, 2017

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bunge, mjini Dodoma.

Mbungewa Viti Maalum, Hawa Mchafu Chakoma akiulizwa swali Bungeni, mjini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo akiuliza swali kabla ya kuahirishwa kwa Bunge, mjin Dodoma.

Wabunge wakjadiliana wakati wa vikao vya Bunge, mjini Dodoma ambalo limeahirishwa leo. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


 Naibu Wazri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu swali Bungeni, mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha vikao vya Bunge.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akisisitiza jambo Bungeni, mara baada ya Waziri Mkuu, Kassim Kuahirisha Bunge.

Wabunge wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  Luhaga Mpina akijibu swali Bungeni.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akimskiliza Wazur wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kabla ya kuahirishwa kwa vikao vya Bunge.

Baaadhi ya wageni waliohudhuria vikao vya Bunge, mjini Dodoma

Baaadhi ya wageni waliohudhuria vikao vya Bunge, mjini Dodoma

Wabunge wakijadiliana Bungeni.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Suleiman Jaffo akisalimiana na wabunge kabla ya kuingia bungeni mapema leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, DK Faustine Ndugulile kabla ya kuingia katka kikao cha Bunge.



Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment