Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Friday 20 October 2017

WANNE WAFA KATIKA AJALI CHATO

 WATU wanne wamepoteza miasma na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugonmgana na badai kuwaka moto.

Ajali hiyo ilihusisha Gari dogo la Abiria aina ya Toyota Hiace linalofanya safari kati ya Muleba na Katoro Wilayani Chato Mkoni Geita na Lori la Mizigo.

Polisi Mkoani Geita imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kati ya eneo la  Kyamiolwa na Kasharunga na kusababpisha vino na majeruhi.

Imeelezwa kawa Chanzo cha ajar hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa Hiace ambaye alishindwa kulimudu gari lake. 




Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment