Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Monday, 24 July 2017

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WAKUANDAA MIPANGO NA BAJETI ZA SERIKALI ZA MITAA-MWANZA

Mgeni rasmi Johansen Bukwali, Katibu Tawala Msaidizi,Uchumi na Mipango Mkoa wa Mwanza akifungua Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuaandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) kwa maafisa Mipango,Wachumi,Wahasibu,Maafisa Tehema na Makatibu wa Afya wa Halmashauri kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaliyofanyika Jijini Mwanza,Leo Tarehe 24 Julai 2017.

Afisa Msimamizi wa Fedha Mwandamizi kutoka TAMISEMI, Elisa Rwamiago,akitoa mafunzo ya Mfumo Mpya wakuaandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) kwa maafisa Mipango,Wachumi,Wahasibu,Maafisa Tehema na Makatibu wa Afya wa Halmashauri kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaliyofanyika Jijini Mwanza,Leo Tarehe 24 Julai 2017.
Washiriki wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuaandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mafunzo yaliyofanyika Jijini Mwanza,Leo Tarehe 24 Julai 2017.


Mgeni rasmi (katikati walio kaa) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuaandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) kutoka Mkoa wa Geita yaliyofanyika Jijini Mwanza,Leo Tarehe 24 Julai 2017.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment