Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akikagua gwaride la heshima ya kijeshi kutoka kwa Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakati akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Pemba leo, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Askari wa kikosi cha
kutumia ghasi (FFU), Mara baada ya kupokea salamu ya heshima ya kijeshi, IGP Sirro yupo kisiwani Pemba kwa ziara ya kikazi yenye
lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo huku akiwataka
askari kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha suala la uhalifu na wahalifu
linadhibitiwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa kamati ya
ulinzi na usalama mkoa wa kaskazini na Kusini Pemba (hawapo pichani) leo wakati
alipofanya ziara ya kikazi katika Kisiwa hicho, kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Kaskazini Pemba Omar Athuman, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa ziara ya kikazi
yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa Jeshi hilo.
Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba Omar
Athuman (aliyesimama), wakati akitoa neno Mbele ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na
Usalama mkoa wa Kaskazini na Kusini Pemba, IGP Sirro yupo kisiwani humo kwa
ziara ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na watendaji wa
Jeshi hilo.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment