Mkurugenzi
wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi
wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchini juu ya namna
watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika kukuza biashra zao
mpaka nje ya mipaka ya Tanzania
Mkurugenzi
wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Hurbert
Mwashiuya juu kama mnufaika wa mradi mara baada ya kupata ruzuku
Mkurugenzi
wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Bi , Aika
Mtei kma mmoja wa wanufaika wa ruzuku mara baada ya kuandika mradi juu
ya biashara katika mtandao
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika na baadhi ya watendaji wa beki hiyo
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment