Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais Dkt. John Magufuli katika Ibada ya
Jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokiya ya Mtakatifu
Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa katika Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro
Father Asis akimpaka majivu kichwani Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika
Ibada hiyo ya Jumatano ya majivu.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Rais Dk John Magufuli na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakisalimiana na Masista wa Parokia ya Mt Petro wakati wa ibada ya jumatano ya Majivu.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wake Mama Janeth
Magufuli katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar
es Salaam.
Rais
Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini
Mkapa mara baada ya Ibada hiyo ya jumatano ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa
la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment