Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokea taarifa ya upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam
alipotembelea banda la DAWASCO na kupewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu
wa Dawasco Cyprian Luhemeja wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya
Nile (Nile day) ,
Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile
na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha
Nishati, Chakula na Maji kwa
Wote”
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es salaam walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) ,
Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile
na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha
Nishati, Chakula na Maji kwa
Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Wajumbe na wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja n meza kuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment