Wabunge Ruth
Mollel, Mary Nagu na Angellina Malembeka wakiwasili bungeni kwa ajili ya
kuhudhuria kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
/Picha: Katuma Masamba-Daily News Digital
Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage na Naibu Waziri wa Mifugo na
Uvuvi, Abdallah Ulega wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha nne
cha mkutano wa 10 wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.
Wabunge
wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
Wabunge wakijadiliana wakati wa kikao cha Bunge mjini Dodoma
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akijibu swali bungeni, mjini
Dodoma.
Wabunge wakijadiliana wakati wa kikao cha Bunge, mjin Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Kakunda akionesha kwa wabunge ramani ya matumizi ya serikali ya mkoani
Dodoma, bungeni, jana.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji akijibu swali bungeni.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akimsikiliza Mbunge wa Bunda Mjini,
Ester Bulaya wakati wa kikao cha Bunge,
mjini Dodoma.
Wanafunzi wa Chu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) tawi la Mwanza
waliotembelea Bunge, wakifuatilia mijadala ya wabunge.
Wabunge wakijadiliana wakati wa kikao cha Bunge.
Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde
wakifuatilia kikao cha Bunge, mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana,
Anthony Mavunde akijibu swali bungeni.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akijibu swali
bungeni.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment