Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi.
Rais wa Jamhuri Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Rais ni
Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya, Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji
Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na
Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora
wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria
Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini
Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na
Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa
Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.
Rais wa Jamhuri Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi
wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora
Rais wa Jamhuri Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi
Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa
Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa
Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara
ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa
Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi
na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment