Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka Wilaya ya Chato Bi. Winfrida Lawrent(65) kutoka Kata ya Kasenga kabla ya kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo 10,000 za Unga wa mahindi, Kilo 4000 Maharage, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka Wilaya ya Chato Bw.
AnatoryBisate (64) kabla ya kuwakabidhi
msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo 10,000 za Unga
wa mahindi, Maharage kilo 4000, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiwakabidhi kwa pamoja mafuta waakilishi wa Wazee kutoka kata ya
Kasenga AnatoryBisate (64) kulia pamoja
na Bi. Winfrida Lawrent(65) kushoto mara baada ya kuzungumza na wazee 400
katika Ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiimba pamoja na wanakwaya wa Mwagazege mara baada ya kuwasili
katika ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
Mama Janeth
Magufuli akiwa na viongozi wengine wa mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja
Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga wakwanza
kushoto wakati wa dua kabla ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
Mama
Janeth Magufuli akifurahi pamoja Naibu Waziri wa nishati na Madini Dkt. Medard
Kalemani wakati Kwaya ya Mwakazege ya kutoka Chato ilipokuwa ikitumbuiza kabla
ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akizungumza na Wazee wasiojiweza zaidi ya 400 kutoka Wilaya ya
Chato katika Ukumbi wa Mshikamano Saccos.
Wazee
wakishangilia wakati wa hotuba ya mgeni rasmi
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa,
Wilaya na Chama waliojumuika na Waakilishi wa wazee wasiojiweza zaidi ya 400
Chato mkoani Geita.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment