Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Saturday 13 May 2017

BUNGENI MJINI DODO LEO MEI 13,2017

 Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiwasilisha taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma
 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiwasilisha taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma leo.
 Msemaji wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Hussein Bashe akiwasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2016/2017 pamoja na maoni kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2017/2018 Bungei mjini Dodoma leo.
 Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzania bungeni, Suzan Lymo akiwasilisha maoni ya kambi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2017/2018 Bungeni mjini Dodoma
 Mbuge wa Viti Maalum Ikupa Alex akifuatilia kwa makini wakati wa mjadala wa wabunge kuhusu bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni mjini Dodoma
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe wilayani Mpwapwa mkoa wa Dodoma wakifuatilia kwa makini mijadala ya wabunge wakati wa majadiliano kuhusu bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni mjini Dodoma. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge na Naibu wake, Isack Kamwelwe wakipongezwa na mawaziri na wabunge baada ya bajeti ya wizara yao kupitishwa bungeni mjini Dodoma juzi
 Mbunge wa Vunjo, James Mbatia akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto akijadiliana jambo na wabunge wa Viti Maaluum, Fatma Toufiq (aliyekaa) na Esther Mmasi bungeni mjini Dodoma jana
 Mbunge wa Viti Maalum Esther Mmasi akichangia wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia bungeni mjini Dodoma.
 Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (aliyesimama) akijadiliana jambo na Mbunge wa Dodoma Mjini, Antony Mavunde (kulia) na Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe bungeni mjini Dodoma
Wabunge wa Viti Maalum, Kiteto Koshuma na Lucy Owenye wakifuatilia mijadala ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bungei mjini Dodoma


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment