Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akipokewa na watumishi wa Ofisi yake Mjini Dodoma na kusalimiana na Isaya Kisiri Afisa Ugavi Mwandamizi mara baada ya kuwasili katika Ofisi zilizopo `Area D` Dodoma.Kulia ni Oigenia Mpanduji Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akipokewa na
watumishi wa Ofisi yake Mjini Dodoma mara baada ya kuwasili katika Ofisi
zilizopo `Area D` Dodoma na kusalimana na Oigenia Mpanduji Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (kushoto) akiongea na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais mjini Dodoma.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment