Mweyekiti wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na
Itifaki wa Serikali (TAGCO) Paschal Shelutete akizungumza kuhusu Mkutano mkuu
wa 13 wa mwaka wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unatarjiwa
kufanyika kuanzia Machi 13, Jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Kaimu Katibu
Mwenezi wa TAGCO Dkt. Cosmas Mwaisobwa, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari
(MAELEZO) Rodney Thadeus na Katibu Mkuu wa TAGCO Abdul Njaidi.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus akifafanua
jambo wakati wa Mkutano wa uongozi wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano,
Uhusiano na Itifaki Serikalini (TAGCO) na waandishi wa habari kuhusu Mkutano
mkuu wa 13 wa mwaka wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia
Katibu Mkuu wa TAGCO Abdul Njaidi na Mweyekiti wa Chama hicho Paschal Shelutete
Kaimu Katibu Mwenezi wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano,
Uhusiano na Itifaki wa Serikali (TAGCO) Dkt. Cosmas Mwaisobwa akisistiza jambo wakati
wa mkutano wa uongozi wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na
Itifaki Serikalini (TAGCO) na waandishi wa habari kuhusu Mkutano mkuu wa 13 wa
mwaka wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia Katibu Mkuu wa
TAGCO, Abdul Njaidi, Mweyekiti wa Chama hicho Paschal Shelutete na Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada wakati wa
mkutano wa viongozi wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na
Itifaki wa Serikali (TAGCO) leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na MELEZO)
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment