Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 4 March 2017

MKUU WA MKOA WA MBEYA AMKABIDHI FEDHA ZA MATIBABU MHANGA WA KUMWAGIWA TINDIKALI

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amemkabidhi sh milioni moja, Fidea Lucas kwa ajili ya kumsaidia matibabu baada ya kumwagiwa tindikali  na mtu asiyejulikana miaka 2 iliyopita.
 
Makalla ametoa msaada huo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa wiki 2 zilizopita kwenye kikao cha kusikiliza kero za wananchi na baada ya kuguswa alihaidi kumsaidia fedha za matibabu.
 
Amehaidi kufuatilia madai yake yote ikiwemo kumsaidia kupata haki zake kwa mwajiri wake na msaada wa kisheria.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment