Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Iringa 
mjini, Richard Kasesela baada ya kuwali kwenye uwanja wa Nduli  mjini 
 Iringa. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Amina Masenza. akiwa 
njiani  kuelekea Njombe kuendelea na ziara ya kazi Januari 25, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakaribiwahwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, 
Christopher Ole Sendeka baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara 
ya mkoa huo, Januari 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa 
wa Njombe, Deo Sanga baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya 
mkoa huo, Januari 25, 2017.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, 
Christopher Ole Sendeka.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
 
 
 
 
 
 
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment