Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 18 May 2017

WANAFUNZI CHUO CHA UHAZILI TABORA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Tabora leo wamefanya ziara ya kimafunzo Bungeni Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza namna Shughuli za Bunge zinavyofanyika ikiwa ni pamoja na kupata historia ya Bunge hilo tangu lianze hadi sasa.

Daily News-Habarileo Blog inakuhabarisha kwa kutumia picha juu ya ziara hiyo ya wanafunzi hao wanaosomea kozi mbalimbai chuoni hapo walipotembelea Bungeni mjini Dodoma.
 Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.

  Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
 Wanafunzi wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo pia walishuhudia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Wanafunzi hao wakiwa nje kabla ya kuingia ndani ya jengo la Bunge


1 comment:

  1. Asante. Jina sahihi ni Chuo cha utumishi wa umma Tanzania tawi la Tabora,sio chuo cha uhazili. Asante Sana Kwa Taarifa.

    ReplyDelete