Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 18 May 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO MEI 17,2017

 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu (kushoto)  nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsiliza Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (kulia) nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimzikiliza Mbunge wa Viti Maalum Dr. Pudenciana Wilfred Kikwembe walipokutana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.

 Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma

 Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Angela Kairuki akijibu maswali Bungeni

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.

 Wabunge wakiwa Bungeni

 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Mchemba akijibu maswali Bungeni

 Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige akiuliza swali Bungeni mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Isack Kamwelwe akijibu swali Bungeni
 Mbunge wa Mvomero, Suleiman Saddiq 'Murad' (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Mbinga Mjini Sixtus Mapunda.

  Wabunge wakiwa Bungeni

 Mbunge wa Viti Maalum, Salma Mwassa akiwa Bungeni

 Mbunge akisoma kitabu cha bajeti ya Wizara ya Viwanda , Biashara na Uwekezaji akiwa Bungeni

MMbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kingwangala


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment