Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride katika hafla fupi ya
kuwavalisha Vyeo Maafisa Magereza kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa
mahaliwa alimwakisha Rais John Pombe Mgufuli katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha Jeremiah Nkondo kuwa Naibu
Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye uwanja wa
Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12,
2017. Mheshimiwa majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika
hafla hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha cheo Tusekile Mwaisabila kuwa
Naibu Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye uwanja
wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni
12, 2017. Mheshimiwa majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli
katika hafla hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha cheo, Afwililwe Mwakijungu kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza katika hafla
fupi iliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji,
Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa majaliwa
alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika hafla hiyo .
Manaibu Kamishina wa Magereza wakisoma Tamko la Ahadi ya Uadilifu kwa
Viongozi wa Umma baada ya kuvalishwa vyeo na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
aktika hafla fupi iliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa
majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla fupi ya kuvalisha
vyeo Maafisa magereza iliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa
majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa
magereza aliowavalisha Vyeo kwa Niaba ya Rais John Pombe Magufuli kwenye
uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam
Juni, 12, 2017.
Nawapongeza kwa kupanda vyeo maafisa hao.Mmeongezewa sufuria LA ugali sasa kazi ni moja tu,CHAPA KAAAZI.Tumieni rasilimali watu mliyonayo magerezani kufanya kazi za kuinua uchumi WA Taifa letu.Zalisheni chakula cha kutosha kwa sababu watu mnao,ardhi mnayo na nguvu mnazo.
ReplyDeleteJengeni viwanda au ruhusuni watu wajenge viwanda kwenye maeneo yenu ili mkatoe wafanyakazi katika viwanda hivyo kwa kutumia watu mlio nao na mkazalishe Mali ghafi katika viwanda hivyo. Mfano kilimo cha miwa,matunda,mahindi nk pamoja na ufugaji.
Kazi kwenu MAAFANDE KTK KULIJENGA TAIFA.