Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 17 May 2017

RC MAKALLA MBEYA AZUNGUMZA NA BENKI YA KFW NA KAMPUNI YA PANDAHILI WANAOTAKABKUWEKEZA SH BILION

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akizungumxa na mmoja wa wakezaji hao.
 Kikao baina ya uongozi wa mkoa wa Mbeya ukiwankatika kikao na wawekezaji hao.
MRADI mkubwa wa uwekezaji wemye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 500 unataraji kuwekezwa mkoani Mbeya na kampuni ya Pandahil kwa kushirikiana na benki ya KFW.

Mradi huo wa madini ya Neubium ambayo yanatumika kutengeneza rocket na kompyuta pindi ukianza unataraji kutoa ajira takriban 500 kwa vijana wa kitanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amewakaribisha na kufanya nao mazumgumzo wawekezaji hao leo na kuwataka kufanya utafiti na kukamilisha taratibu nyingine mbalimbali ikiwepo za kimazimgira na taratibu za kisheria ili waanze uwekezaji.

Makalla amesema uwepo wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya na barabara za uhakika ni moja ya vitu vinavyochochea shughuli za uwekezaji mkoani Mbeya.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment