Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 17 May 2017

ALIYEKUWA KAIMU MKURUGENZI WA TIC CLIFFORD TANDARI AKIWA BUNGENI DODOMA LEO

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Clifford Tandari akiwa katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo alipofika kuhudhuria Mkutano wa Bunge ambapo Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ilikuwa ikisoma bajeti yake. 
Rais John Magufuli leo amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TIC ambapo amemteua Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, Geoffrey Idelphonce Mwambe kushika nafasi hiyo na Tandari kuteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro. (Picha na Mroki Mroki).


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment