Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 21 June 2017

UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHIRoxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan, Midori Miyazaki aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini  katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI ,Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan, Shota Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini  katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani,Hiroki Tamura akielezea namna alivyofanya kazi katika Chuo cha Utalii Zanzibar, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika
 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani, Moemi Ikeda akielezea namna alivyofanya kazi katika Shule ya Msingi Lusanga-Morogoro, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Fundikira Ekerege (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment