Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Wednesday 18 January 2017

MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI KITUO CHA MOYO CHA JAKAYA KIKWETE WAFANIKIWA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KWENYE MOYO

 Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Evarist Nyawawa (kushoto) na  Dk Hussein Hassanali wakimfanyia upasuaji mmoja wa wagonjwa ambapo wengine huwapandikiza mishipa ya damu kwenye moyo juzi katika kituo hicho kilichopo Muhimbili, Dar es Salaam.
 Madaktari mbalimbali wakiendelea na kazi katika chumba cha upasuaji moyo
 wakiendelea na upasuaji
 Mtaalamu wa Usingizi wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Edwin Lugazia akitumia kompyuta kuhakikisha hakuna hitilafu yoyote inatokea kwa mgonjwa aliyekuwa anapandikizwa mishipa ya damu kwenye moyo  katika kituo hicho kilichopo Muhimbili, Dar es Salaam.

 Watalaaamu wa mashine ya mapafu na moyo Sophia Lukonge na Sylvester Mbunda wakiwa makini kuhakikisha mashine hizo hazipati hitilafu



 Wasaidizi wa chumba cha upasuaji wakiwa wamejipanga tayari kwa kazi. Kutoka kulia ni Hildegard Karau, Hania Bwahama na Faustina Mwapingo


Source: Kamanda wa Matukio Blog


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment