Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, 18 January 2017

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais Dk John Magufuli akimwapisha Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Rais Magufuli alimteua Jaji, Prof Juma kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Mohamed Chande Othman kustaafu. Picha:Mroki Mroki-TSN Digital.
 Rais Dk John Magufuli akimwangali Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Prof. Ibrahim Juma akiweka saini hati ya kiapo.
 Rais Dk John Magufuli akiweka saini hati ya kiapo cha Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Prof. Ibrahim Juma ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais Dk John Magufuli akimkabidhi kitendea kazi Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Prof. Ibrahim Juma baada ya kuapishwa.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman katika sherehe ya kuapishwa kwa Kaimu Jaji Mkuu, Ikulu Dar es Salaam leo.
Majaji mbalimbali wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani Tanzania na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ali Hapi (kulia) wakiwa katika sherehe hiyo Ikulu Dar es Salaam leo.
 Rais Magufuli akimpongeza Kaimu Jaji Mkuu, Jaji Prof. Ibrahim Juma.
 Picha mbalimbali za pamoja zilipigwa baada ya sherehe hizo za kuapishwa kwa Kaimu Jaji Mkuu.
 Picha mbalimbali za pamoja zilipigwa baada ya sherehe hizo za kuapishwa kwa Kaimu Jaji Mkuu.
 Picha ya pamoja na familia yake nayo ilipigwa.
Watumishi wa Mahakama ya Rufaa Tanzania nao walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment