Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, 20 May 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA HII LEO MEI 201,2017

 Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi, 'Mtemi' Andrew Chenge akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma leo ambapo mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi uliendelea.
Mbunge wa Viti Maalum, Aysharose Ndogholi Mattembe akizungumza na Mbunge wa Njombe Mjini, Edward Franz Mwalongo
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashatu Kikaju akiwa viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila (kulia) akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa nje ya Ukukbi wa Bunge mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo akiongozana na Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali wakiingia Bungeni Mjini Dodoma leo.
 Mbunge wa Singida Magaharibi, Emmanuel Kingu (kulia) akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Dr. Jasmine  Bunga na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
 Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mgaya akiwa viwanja vya Bunge leo.
 Wabunge wakiwa Bungeni leo.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akichangia Mjadala huo.
 Mbunge wa Mufindi Kaskazini, Mahmoud Mgimwa akichangia mjadala
 Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba akichangia mjadala wa Bajeti leo.
 
 Mbunge wa Newala Mjini, George Mkuchika akizungumza Bungeni
 Mbunge wa Kawe Halima Mdee akichangia mjadala
 Waziri Kivuli wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum (Cahdema), Dr. Immaculate  Semesi akifuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bungeni mjini Dodoma jana. Juu yake ni Mbunge wa Viti Maalum, Grace Kiwelu na Kulia ni Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko.
Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwanko (kulia) akizungumza na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe wakifuatilia mjadala wa Bajeti.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment