Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Monday, 10 April 2017

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRILI 10,2017

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Viti maalum  Morogoro (CHADEMA), Devotha Minja  akitoa hoja Bungeni katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakifuatilia kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment