Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Wednesday 15 November 2017

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 15, 2017

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo wakati wa vikao vya Bunge, mjini Dodoma.
   Mbunge wa Viti maalum Tabora, Munde Tambwe akijadiliana na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson Bungeni, mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wabunge wakijadiliana.

Baadhi ya wageni wakifuatilia vkao vya Bunge, mjini Dodoma. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


     Baadhi ya Wageni wakifuatilia vikao vya Bunge, mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingra, Kangi Lugola akionesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati akijibu swali.

       Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadiliana jna Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba wakati wa vikao vya Bunge, mjini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel akiuliza swali Bungeni, mjin Dodoma.

Waziri  wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (aliyesimama) akijadiliana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju Bungeni, mjni Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Mbunge wa Ileje, Janeth Mbene akuliza swali Bungeni, mjini Dodoma.
Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea akichangia, baada ya kuwasilishwa kwa muswada wa mabadiliko ya Sheria MbalimbaliBungeni, Mjini Dodoma.

Wabunge wakiwasli Bungeni, mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vinavyoendelea mjini humo.

Wabunge wakiwasli Bungeni, mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vinavyoendelea mjini humo.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment