Na Katuma Masamba, Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema, ukosefu wa ajra kwa vijana nchini unazidi kupungua kutokana na juhudi mbalimbali za serkali.
Amesema hatua hyo inatokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuboresha na kutengeza mazingira yatakayowawezesha vijana kujiajiri.
Mhagama ameyasema hayo wakati akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2017/2018 ambapo alisema, tatizo la ajira ni changamoto ya kidunia lakini serikali imekuwa ikijtahidi kuhakikisha inatengeza mazingira mazuri ikiwa ni pamoja na kuanzisha program 8rasisimishaji wa ajira ambazo Urasimishaji Ujuzi kwa Vijana ambao wana ujuzi lakini hawakupitia katika mfumo rasmi wa mafunzo ya Ufundi.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment