Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Sunday, 22 January 2017

RAIS MAGUFULI AMTEUA ANNE KILANGO MALECELA KUWA MBUNGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo Januari 21, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Anne Kilango Malecela ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment