Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 2 March 2017

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZIRI UMMY MWALIMU NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga ofisini kwake, Ikulu jijini  Dar es Salaam.Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto)  na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga (kulia) ofisini kwake, Jijini  Dar es Salaam. Picha :Ofisi ya Makamu wa Rais.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment