Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Thursday, 2 March 2017

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KAMATI INAYOSGHULIKIA MGOGORO WA LOLIONDOWaziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia)leo 2 February 2017 akionyesha Kitabu cha Taarifa ya Kamati inayoshughulikia Mgogoro wa  Loliondo Kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati  amabye ni  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo, Wanao shuhudia  Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi  Mkuu  Mamlaka ya Uhifadhi Tanzania  Martine  Loiboki, Mkuu wa Wilaya ya Loliondo Rashid Taka, Mkurugenzi Mkuu Tanapa Allan Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Wanyama Pori  Prof Alexander  Songorwa, Mkurugenzi Mkuu wa Thomson Safari s John Bearcroft , Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo Milian Ole Nasha (MB) ,Mwenyekiti wa CCM Arusha  Lekule Laiser  , Mkurugenzi wa Baraza la Wafugaji Wanawake Bibi Maanda Ngoitika ,Kikao hicho cha Kukabidhi Tarifa kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma


Waziri Mkuu Kassi Majaliwa akiwa katika kikao cha Wanakamati wanaoshugulikia Mgogoro wa Loliondo Kikao hicho kimefanyika katika  Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akisikiliza Tarifa ya Mgogoro  wa  Loliondo  kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati na Mkuu wa Mkoa  wa Arusha , Bwana Mrisho Gambo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) leo 2 February 2017 amepokea  Taarifa ya Kamati inayoshughulikia Mgogoro wa  Loliondo Kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati  amabye ni  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo, Wanao shuhudia  Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi  Mkuu  Mamlaka ya Uhifadhi Tanzania  Martine  Loiboki, Mkuu wa Wilaya ya Loliondo Rashid Taka, Mkurugenzi Mkuu Tanapa Allan Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Wanyama Pori  Prof Alexander  Songorwa, Mkurugenzi Mkuu wa Thomson Safari s John Bearcroft , Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo Milian Ole Nasha (MB) ,Mwenyekiti wa CCM Arusha  Lekule Laiser  , Mkurugenzi wa Baraza la Wafugaji Wanawake Bibi Maanda Ngoitika , Kikao hicho cha Kukabidhi Tarifa kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment