Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Monday 13 February 2017

RC MTAKA AIPONGEZA KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI (TSN) KWA JUKWAA LA BIASHARA SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka akisisitiza jambo wakati akifungua Jukwaa la Biashara Mkoani Simiyu. Mtaka ameupongeza uongozi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kwa kuandaa Jukwaa hilo la Biashara Mkoani Simiyu na kuelezea namna mbalimbali za kuweza kuinua Simiyu kwa fursa zilizopo mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel (kushoto), na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya serikali (TSN) Tanzania Standard Newspaper Dkt Jim Yonazi (kulia) wakisikiliza maelezo mbalimbali katika Kongamano hilo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel akisisitiza umuhimu wa Viwanda nchini Tanzanai

Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Masoko kutoka TIB Corporate Bank Ltd Bi Theresia Soka (kulia) akiwa na Zacharia Kicharo Meneja wa TIB Development Bank Ltd Lake Zone wakifatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Jukwaa la Biashara Mkoani Simiyu
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini akizungumza wakati wa jukwaa la Biashara Mkoani Simiyu ambalo limeandaliwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). 
 Maofisa wa TSN ambao walishiriki katika Jukwaa la Biashara Simiyu Februari 13,2017
 Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) DK Jim Yonazi akizungumza
 Washiriki wakisikiliza.
 Timu ya TSN iliyopo Simiyu katika Jukwaa la Biashara.
 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk Jim Yonazi akimtambulisha Wakala wa Magazeti ya TSN Mkoani Simiyu, Kichohe Nkanabo kwa wafanyabiashara na viongozi wa Mkoa wa Simiyu.

Kikosi kazi cha TSN kikitambulishwa katika mkutano huo.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment