Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Dailynews Blog.





Nafasi Ya Matangazo

Wednesday 22 March 2017

BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR

Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon  katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam.
 Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
 Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa 
 Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa
 Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo
 Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
Wataalamu wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa. Source: Kamanda wa Matukio Blog.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment