Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Dkt. Aziz P. Mlima (kulia) akizungumza na Balozi Mteule wa Oman nchini, Mhe. Ali Abdullah Mahruqi alipomtembelea Wizarani Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo
yao yalijikita katika suala la Makao Makuu ya Serikali kuhamia Dodoma
na namna Ofisi za Ubalozi huo zinavyoweza kutumia fursa hiyo kuwashauri
wafanyabiashara wa Oman kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu pamoja na
huduma nyingine za biashara ambazo bado hazijawa za uhakika katika mji
huo.
Mazungumzo yakiendelea.
Balozi Mlima akiagana na Balozi Al Mahruqi
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment