Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka
jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu, ilityojengwa kwa fedha za halmashauri, Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa Wilaya ya Tandahimba,
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao, mara baada
ya kuweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu, ilityojengwa kwa fedha za halmashauri, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na wananchi, mara baada ya kuweka jiwe la msingi la
barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani
Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu,
ilityojengwa kwa fedha za halmashauri,
Februari 28, 2018.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment