Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza
mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali vya thamani ya milioni 4.4 ambavyo
vitasaidia katika kampeni ya uhifadhi mazingira na upandaji miti . Vifaa hivyo
vimekabidhiwa jana na Kampuni ya
Alliance One Tobacco Tanzania Ltd.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(mwenye
koti la bluu) akipokea
vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 4.4 ambavyo vitasaidia katika
kampeni ya uhifadhi mazingira na upandaji miti . Vifaa hivyo vimekabidhiwa jana
na Kampuni ya Alliance One Tobacco
Tanzania Ltd.
Baadhi ya vifaa vyenye thamani ya shilingi
milioni 4.4 vilivyotolewa jana na Kampuni
ya Alliance One Tobacco Tanzania Ltd kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mkoa
wa Tabora za kampeni yake ya kuhakikisha eneo hilo linakuwa la kijani kwa
kupanda miti kwa wingi. Picha na Tiganya Vincent
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment